Numbers 1:5-10

5 aHaya ndiyo majina ya wanaume watakaowasaidia:

“kutoka Reubeni, ni Elisuri mwana wa Shedeuri;
6 bkutoka Simeoni, ni Shelumieli mwana wa Surishadai;
7 ckutoka Yuda, ni Nashoni mwana wa Aminadabu;
8 dkutoka Isakari, ni Nethaneli mwana wa Suari;
9 ekutoka Zabuloni, ni Eliabu mwana wa Heloni;

10 fkutoka wana wa Yusufu:
kutoka Efraimu, ni Elishama mwana wa Amihudi;
kutoka Manase, ni Gamalieli mwana wa Pedasuri;
Copyright information for SwhKC